Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA)

Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) ni nini?

Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) ni taasisi ya mafunzo ya kiufundi inayolenga pekee kukuza uwezo wa rasilimali watu ya kiufundi inayohitajika katika sekta ya Ukuzaji Viumbe Maji na Uvuvi.