
Ukumbi wa Mikutano
Ukumbi wetu wa kisasa na wenye nafasi unatoa mazingira bora kwa mikutano, warsha na hafla mbalimbali. Ukiwa na viti vya starehe, vifaa vya sauti na picha, pamoja na huduma ya kitaalamu, ni sehemu bora kwa makundi madogo na makubwa.
Kauli Mbiu: “Ukumbi bora kwa mikutano na matukio yako.”
Ukumbi wa Mikutano Mzuri kwa shuguli za Harusi, Ibada, Sherehe za Jumuiya.
Bei Zetu:
- Ukumbi unabeba Watu 150, kwa Siku moja: TZS 500,000
(Inajumuisha viti, projekta na mfumo wa sauti) - Kwa Mawasiliano zaidi +255 763 263 465