Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Muhitimu mwenye wa kidato cha nne awe na ufaulu wa D nne kwenye masomo yasiyo ya dini.
AU
Muhitimu wa kidato cha sita awe na principle pass mbili na subsidiary mbili
TSH 1,2064,000
Kufuga samaki aina ya sato kwa ubora inategemea na mazingira ikiwemo hali ya hewa, udongo, mapondi mazuri.
kwa mawasiliano zaidi tumia barua pepe, mbegani@feta.ac.tz na namba za simu.+255232935098, 0713428822
FETA inapatikana Bagamoyo, Mwanza,Mikindani,Kigoma na Gabimori
Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) ni taasisi ya mafunzo ya kiufundi inayolenga pekee kukuza uwezo wa rasilimali watu ya kiufundi inayohitajika katika sekta ya Ukuzaji Viumbe Maji na Uvuvi.