Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Ujenzi

BARAZA LA TAIFA LA UJENZI

Dira na Dhamira

Dhima ya Taasisi    

Kuhamasisha na kuongoza maendeleo ya Sekta ya Ujenzi nchini Tanzania hususan kwa kujenga uwezo wa taasisi, makampuni na wataalam wa ndani

Dira  

Kuwa Taasisi ya mfano katika kuongoza ukuaji na maendeleo ya sekta ya ujenzi yenye uwezo endelevu wa kutoa huduma na bidhaa kwa ufanisi na tija na kushindana Kimataifa.