Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Ujenzi

BARAZA LA TAIFA LA UJENZI

Eneo


Picha
Taarifa

HUDUMA ZA USHAURI

Baraza linashughulika na kutoa ushauri wa kiufundi katika mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya ujenzi; ikiwa ni pamoja na: mipango kuhusu utekelezaji wa miradi, ununuzi na usimamizi wa mikataba ya ujenzi, usimamizi wa gharama za miradi na ukaguzi wa miradi