Ujenzi wa Wodi na Mionzi Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato Awamu ya Pili
Ujenzi wa Wodi na Mionzi Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato Awamu ya Pili
Imewekwa: 03 July, 2025

Taarifa za Mradi
Mshitiri/Mteja : Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Gharama : Billioni 17.7
Aina ya Mradi : Design and Build
Eneo / Mahali : Geita
Tarehe ya kuanza : 2020-05-02
Tarehe ya Kumaliza : 2024-09-07
Taarifa zaidi za Mradi
Ujenzi wa Wodi za kazi za Nje nav Mionzi linalojengwa katika Hospital ya Rufaaa ya Kanda ya Chato katika eneo la kiteta Chato Awamu ya Pili.