Huduma ya Ujenzi
Huduma ya Ujenzi
Imewekwa: 13 September, 2024
Kurugenzi ya Ujenzi inatoa huduma zifuatazo;
- Ujenzi wa majengo mapya ya Serikali.
- Matengenezo ya majengo ya Serikali.
- Kuendesha karakana za Serikali kwa ajili ya kuzalisha samani na bidhaa za mbao na chuma kwa ajili ya utekelezaji wa miradi yetu ya ujenzi.