Huduma za Ushauri
Huduma za Ushauri
Imewekwa: 12 September, 2024
Kurugenzi ya Ushauri inatoa huduma zifuatazo:
- Kutoa huduma ya ushauri kwa miradi ya majengo ya Serikali.
- Kuidhinisha michoro ya ujenzi ya Taasisi za Serikali (MDAs) na kutoa vibali vya ujenzi wa majengo ya Serikali.
- Kuanda na kuweka viwango vya kiufundi na ubora kwa majengo ya Serikali na kuvipitia mara kwa mara.
- Kusimamia majengo na mikataba ya Ushauri pamoja na mikataba ya makubaliano ya viwango vya huduma kwa majengo ya Serikali.
- Kuhakikisha kwamba kazi zote za ujenzi zinatekelezwa kuakisi thamani ya fedha.
- Kutoa huduma za usimamizi wa majengo ya Taasisi za Serikali (MDAs).