Huduma Zetu
Kurugenzi ya Usimamizi wa Miliki inatoa huduma zifuatazo: Kutoa ushauri kuhusu usimamizi wa Miliki za Serikali, kutwaa na kuendeleza ardhi, uundaji wa sera mbalimbali za ndani za makazi ya Serikali, kanuni na taratibu,...
Kurugenzi ya Ushauri inatoa huduma zifuatazo: Kutoa huduma ya ushauri kwa miradi ya majengo ya Serikali. Kuidhinisha michoro ya ujenzi ya Taasisi za Serikali (MDAs) na kutoa vibali vya ujenzi wa majengo ya Serikali.&n...
Kurugenzi ya Ujenzi inatoa huduma zifuatazo; Ujenzi wa majengo mapya ya Serikali. Matengenezo ya majengo ya Serikali. Kuendesha karakana za Serikali kwa ajili ya kuzalisha samani na bidhaa za mbao na chuma kwa ajili...
Ujenzi huu ni wa Ghorofa 7 na wenye uwezo wa kuchukua familia 14 kwa ajili ya kupangisha watu wote.
Ujenzi huu ni wa Ghorofa 7 na wenye uwezo wa kuchukua familia 14 kwa ajili ya kupangisha Watumishi wa Umma.
Ujenzi wa ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Ujenzi wa Wodi, Kazi za Nje na Mionzi linalojengwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato katika eneo la Kitela Chato Awamu ya Pili
Habari Mpya
Video Mpya