Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma Temeke Kota -Temeke Dar es Salaam.

Imewekwa: 04 Julai, 2025
Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma  Temeke Kota -Temeke Dar es Salaam.

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania

Gharama : Tsh. Billioni 21.3

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Temeke-Dar es Salaam

Muda wa Mkataba : Four Years


Taarifa zaidi za Mradi

Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma Temeke kota Dar es Salaam.