Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma (Block 1 & 2) eneo la Ghana Ilemela Mwanza.
Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma (Block 1 & 2) eneo la Ghana Ilemela Mwanza.
Imewekwa: 03 Julai, 2025

Taarifa za Mradi
Mshitiri/Mteja : Mtendaji Mkuu Wakala wa Majengo Tanzania
Gharama : Tsh. 7.7 Billioni
Aina ya Mradi : Design and Build
Eneo / Mahali : Mwanza
Muda wa Mkataba : Two Years
Taarifa zaidi za Mradi
Ujenzi jengo la Makazi kwa Watumishi wa Umma lenye uwezo wa kuchukua familia 14.