Mradi wa Nyumba za Makazi Mission Kota unaotarajiwa kujengwa Geita.
Mradi wa Nyumba za Makazi Mission Kota unaotarajiwa kujengwa Geita.
Imewekwa: 24 Oktoba, 2024

Taarifa za Mradi
Mshitiri/Mteja : PPP
Gharama : -
Aina ya Mradi : Design and Build
Eneo / Mahali : Geita
Muda wa Mkataba :
Taarifa zaidi za Mradi
Ujenzi wa Nyumba za Makazi zenye uwezo wa kuchukua familia 14 kwa ajili ya kupangisha watu wote.