14 September, 2024
MHE. BASHUNGWA AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI YA WATUMISHI WA UMMA ZILIZOJENGWA ENEO LA MAGOMENI KOTA AWAMU YA PILI
Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa ameitaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha nyumba za makazi zinazosi...