Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto (Sekou Toure).

Imewekwa: 03 July, 2025
Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto (Sekou Toure).

Taarifa za Mradi

Mshitiri/Mteja : Katibu Mkuu Wizara ya Afya

Gharama : Billioni 13.9

Aina ya Mradi : Design and Build

Eneo / Mahali : Mwanza

Tarehe ya kuanza : 2017-10-13

Tarehe ya Kumaliza : 2024-12-13


Taarifa zaidi za Mradi

Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto (Sekou Toure) Hospitali ya Rifaa Mkoani Mwanza.