Watumishi wa Tax Ombudsman wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la ofisi ya Msuluhishi na taarifa za kodi
Watumishi wa Tax Ombudsman wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la ofisi ya Msuluhishi na taarifa za kodi
Imewekwa: 25 May, 2023
Watumishi wa Tax Ombudsman wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.