UTANGAZAJI WA MATOKEO YA MITIHANI YA 30 YA PSPTB
Ufaulu kwa ujumla
Watahiniwa 680 (47.9%) wamefaulu kati ya watahiniwa 1,421 waliofanya mitihani ya kitaaluma. Watahiniwa 610(42.9%) wanarudia masomo yao na watahiniwa 131 (9.2%) wamefeli na wataanza upya masomo yao katika ngazi husika