Wahitimu wa Mitihani ya PSPTB wakiapa mbele ya Mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 14 ya PSPTB yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam.
Wahitimu wa kozi ya ukaguzi katika ununuzi na ugavi wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa mahafali ya 14 ya mitihani ya PSPTB yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC, Dar es salaam.
Wahitimu wa kozi ya ukaguzi katika ununuzi na ugavi wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa mahafali ya 14 ya mitihani ya PSPTB yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC, Dar es salaam.
Wahitimu wa mitihani ya PSPTB wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu katika mahafali ya 14 ya mitihani ya PSPTB yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC, Dar es salaam.
Kamati ya maandalizi ya mahafali ya 14 ya mitihani ya PSPTB wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC Dar es salaam.
Watumishi wa PSPTB wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa mahafali ya 14 ya mitihani ya PSPTB yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC Dar es salaam
Watumishi wa PSPTB wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa mahafali ya 14 ya mitihani ya PSPTB yaliyofanyika katika ukumbi wa JNICC Dar es salaam
Mgeni rasmi katika mahafali ya 14 ya PSPTB Bi. Jenifa Christian Omolo (katikati) kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya PSPTB CSP Jacob Kibona (kushoto) na Mkurugenzi mtendaji Wa PSPTB CPSP. Godfred Mbanyi, wakati wa mahafali ya 14 ya PSPTB yamefanyika JNICC jijini Dar es salaam
Mr. Oswald Urassa Mkufunzu kutoka Taasisi ya Uongozi, akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya PSPTB wakati wa Mafunzo ya Uongozi na Utawala kwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya PSPTB yaliyofanyika Dar es salaam
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya PSPTB wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya mafunzo ya Uongozi na Utawala yaliyofanyika jijini Dar es salaam