Maonesho Nanenane 2022 TUWASA
Katika Maonesho ya Nanenane 2022 TUWASA imeandaa mambo mbalimbali ikiwepo Utoaji wa elimu kwa wateja kuhusu Maunganisho mapya, Utaratibu wa kutoa taarifa mbalimbali kuhusu huduma za TUWASA kwa njia rahisi, faida za Utunzaji wa Mazingira sambamba na kupokea maoni na kero za wateja wake . Tuwasa ni mdau mkubwa wa kilimo kutokana na huduma ya Maji inayotolewa kwa Wakaazi wa Tabora, Sikonge, Urambo na Isikizya.