Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Watumishi walioajiriwa na chuo wanatekeleza majukumu mbalimbali ya kiutawala ikiwemo kufanya maandalizi ya kupolea wanafunz.
Chuo chetu kina kampasi tatu mpaka sasa, kampasi kuu Butiama, Kampasi ya Oswald Mang'ombe na Kampasi ya Tabora
Endapo hujaridhishwa na maamuzi ya Baraza unatakiwa kukata Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania ndani ya siku kumi na nne (14) baada ya maamuzi ya Baraza kutolewa.
Ujue kusoma na kuandika
Chuo chetu kitaanza kudahili wanafunzi September 2023
  Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000
Chuo kinatarajia kuanza kudahili wanafunzi Oktoba, 2023
Kupitia Ofisi ya Mshauri wa Mgambo Wilaya
From Msiba Bsa Stand,Take shuttle or 40 minutes drives to Butiama
Ukiona bomba limepasuka maji yanamwagika unatakiwa kupiga namba ya bure ya TUWASA ambayo ni 0800780063 na kueleza taarifa ya eneo bomba lilipopasuka.