Chuo chenu Kina kamp...
Chuo chenu Kina kampasi ngapi mpaka sasa?

Chuo chetu kina kampasi tatu mpaka sasa, kampasi kuu Butiama, Kampasi ya Oswald Mang'ombe na Kampasi ya Tabora