TANGAZO LA KUJIUNGA...
TANGAZO LA KUJIUNGA NA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA MWAKA WA MAFUNZO UNAOANZA JANUARI, 2023
08 May, 2023

Mkurugenzi Mkuu wa VETA anawatangazia Wananchi wote nafasi za kujiunga na Kozi za Muda Mrefu katika Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi vinavyomilikiwa na VETA.