Taarifa kwa Umma
Taarifa kwa Umma
08 May, 2023

Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia kinawaarifu wakaazi wote wa Wilaya ya Butiama kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali yatakayofanyika Kampasi Kuu ya chuo hicho kuanzia tarehe 17/05/2023.