Ada ya vyuo vya VETA ni Sh ngapi?
Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000