Nafanyaje endapo sij...
Nafanyaje endapo sijaridhishwa na maamuzi ya Baraza dhidi ya Kesi yangu?

Endapo hujaridhishwa na maamuzi ya Baraza unatakiwa kukata Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania ndani ya siku kumi na nne (14) baada ya maamuzi ya Baraza kutolewa.