PROF. MAKUBI AWASISITIZA WAJUMBE WA MENEJIMENT YA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA KU...
Apr 06, 2025

Na Jeremia MwakyomaPicha na Ludovick KazokaDODOMA-April 5, 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Prof. Abel Makubi amewataka W...

Soma Zaidi
MKUU WA HUDUMA ZA DHARURA WIZARA YA AFYA: NENDENI MKABORESHE ย HUDUMA ZA DHARURA
Apr 06, 2025

Na Gladys Lukindo, Picha: Carine Senguji- Dodoma, Machi 26, 2025ย  Washiriki wa mafunzo ya critical care wametakiwa wakaboreshe huduma za dharura wanap...

Soma Zaidi
BMH, UDOM NA TOKUSHUKAI KUJENGA KITUO CHA UMAHIRI CHA UPANDIKIZAJI FIGO
Apr 06, 2025

Na Ludovick Kazoka, Dodom Machi 26 PICHA: Gladys Lukindoย  Katika jitihada za kuifikia ndoto ya Serikali kuifanya Dodoma kuwa mji wa tiba utalii, Hospi...

Soma Zaidi
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA (BMH) YA KWANZA KATIKA SEKTA YA UMMA KUFANYA UPASUA...
Mar 13, 2025

Na. Jeremiah Mbwambo, Dodoma, 13/03/2025 Hospitali ya Benjamin Mkapa imekuwa Hospitali ya kwanza katika sekta ya Umma kwa kufanya upasuaji (Operation)...

Soma Zaidi
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA (BMH) NA TAASISI YA MORAN EYE CENTER YA MAREKANI WAK...
Mar 12, 2025

Na Jeremia Mwakyoma.DODOMA - Machi 5, 2025 Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) na taasisi ya Moran Eye Center ya Chuo Kikuu cha Afya cha Utah cha nchini...

Soma Zaidi
MADAKTARI BINGWA KUTOKA BMH WAENDELEA KUTOA MATIBABU KATIKA KAMBI YA KUMUENZI DK...
Mar 12, 2025

Madaktari bingwa kutoka hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na ABBOTT FUND Tanzania wanaendelea kutoa huduma za matibabu katika shule y...

Soma Zaidi
WANAWAKE TUME YA MADINI WATOA MSAADA KWA KULIPIA BILI ZA WAGONJWA WENYE UHITAJI...
Mar 12, 2025

Wananchi wengi waguswa na tukio hilo na kupongeza Tume ya Madini Na Ludovick KazokaDODOMA - MACHI 7, 2025 Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wa...

Soma Zaidi
ZAIDI YA WATOTO 700 WAPATIWA HUDUMA ZA UCHUNGUZI KWENYE KAMBI YA KUMUENZI DKT. G...
Mar 12, 2025

Na Carine Senguji, Machi 10 2025, DODOMA. Zaidi ya watoto 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi katika kambi ya kumuenzi aliekua daktari katika Hospitali...

Soma Zaidi
BMH amekutana na uongozi wa EXIM Bank Tanzania
Feb 11, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa BMH amekutana na uongozi wa EXIM Bank Tanzania ukiongozwa na Mtendaji wake Mkuu Ndugu Jaffari Matundu mjini Dodoma ili kufungua...

Soma Zaidi
Watumishi wa Umma na sekta binafsi kuhudumiwa bure Mtumba
Aug 02, 2024

    Prof. Abel Makubi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mapema hii leo amefanya mahojiano maalum na azam tv kuhusu...

Soma Zaidi
WATUMISHI WA HOSPITAL YA BENJAMIN MKAPA KUFANYA MAZOEZI PAMOJA KILA WIKI
Jul 05, 2024

Na Ludovick Eugene Kazoka, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Prof Abel Makubi, leo amezindua rasmi programu ya mazoezi...

Soma Zaidi
MENEJIMENTI YA BMH KUWATENGENEZEA MAZINGIRA MAZURI MADAKTARI KUTOA HUDUMA BORA
Jul 02, 2024

Na Carine Abraham Senguji, Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Prof Abel Makubi, akiambatana na Menejimeti amewataka ma...

Soma Zaidi