Habari
WAPANDIKIZWA BETRI KWENYE MOYO BMH, MADAKTARI 70 WAKIPEWA MAFUNZO
Wagonjwa 3 wamenufaika na huduma ya kupandikizwa Betri ya kwenye Moyo katika kambi ya matibabu ya Moyo na Mafunzo ya kubaini wagonjwa weny...
Soma ZaidiTUNATIBU APONYAE NI MUNGU
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamin Mkapa (BMH) amewaomba viongozi wa dini kuendelea kuwaombea wagonjwa na watoa hudum...
Soma ZaidiBILLION 2.7 YAENDELEA KUOKOA WATOTO WENYE UGONJWA WA SELIMUNDU TANZANIA
Bw. Jeremiah Mbwambo Msemaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ameeleza, kila ifikapo Juni 19 Dunia huadhimisha Siku ya Selimundu. “Siku hii...
Soma ZaidiMKURUGENZI MTENDAJI BMH ATETA NA CHAMA CHA MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI TANZANIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ameeleza ukuaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa ndani ya muda mfupi katika mkutano wa chama cha mada...
Soma ZaidiBMH YAPANDIKIZA UUME KWA MARA YA KWANZA NCHINI
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)kwa kushirikiana na chama cha madaktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkojo nchini (TAUS) pamoja na dkt. Bingwa kuto...
Soma ZaidiKAMATI YA BUNGE YA AFYA YA NAMIBIA YAITEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA.
Kamati ya kudumu ya masuala ya usawa wa jinsia, maendeleo ya jamii na ustawi wa familia kutoka Bunge la Namibia leo wamefanya ziara katika Hospitali y...
Soma ZaidiMADAKTARI WA UPASUAJI WAKUTANA BMH
Madaktari waupasuaji wamekutana Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma . Dkt Sylvia Jumbe, mratibu wa mafunzo katika Hospitali ya Benjamin M...
Soma ZaidiWATUMISHI BMH KUCHANGIA DAMU
Kuelekea Juni 14 siku ya kuchangia damu duniani baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kutoka Idara ya Maabara wamejitokeza kuchangi...
Soma ZaidiWAGONJWA 572 WANUFAIKA MATIBABU YA MACHO KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA WA BMH
Kambi ya madaktari Bingwa wa macho kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa(BMH) iliyofanyika wilaya ya Newala, Mtwara leo Juni 2, 2023 imefikia tamati na i...
Soma ZaidiWALIOTIBIWA MACHO WAPEWA ELIMU YA KUYATUNZA
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Macho kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma (BMH) wametoa elimu ya jinsi ya kutunza macho kwa wagonjwa walionufaik...
Soma Zaidi56 WACHUNGUZWA MACHO 15 WAKIFANYIWA UPASUAJI MTOTO WA JICHO NEWALA
Mtwara, 30 Mei, 2023 Madaktari Bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Mei 30, 2023 wamean...
Soma ZaidiKOFIH YA FURAHISHWA MIUNDOMBINU HUDUMA ZA DHARURA-BMH
May 30,2023 Dodoma, Profesa Kang Hyun Lee wa shirika la Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) linalojihusisha na kutoa misaada ya hud...
Soma Zaidi