Taarifa zilizopo kwenye Tovuti ya Wakala wa Huduma za Manunuzi Serikalini (GPSA) zinatolewa kwa masharti kwamba watu wote wanaofikia tovuti hiyo wanabeba jukumu la kutathmini umuhimu na usahihi wa maudhui yake.
Wakala wa Huduma za Manunuzi Serikalini (GPSA) unaweza kuwa na viungo (hyperlinks) vinavyoelekeza kwenye kurasa zilizomo katika tovuti za nje za Serikali ya Tanzania na tovuti zisizo za Serikali ya Tanzania (tovuti za wahusika wengine). Isipokuwa kama imeonyeshwa vinginevyo na GPSA:
Haina uhusiano wala haijashirikiana na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti yoyote ya wahusika wengine, na
Iwapo una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo ndani ya Tovuti ya Wakala, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe: ceo@gpsa.go.tz