Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Hatua ya kwanza, mteja atapaswa kujaza fomu maalum na kisha kuziwasilisha katika ofisi yoyote ya GPSA. Fomu hizi zinapatikana katika tovuti ya Wakala ya ‘www.gpsa.go.tz’ au kwa kutembelea ofisi/kituo chochote cha GPSA.
Hatua itakayofuata ni kufunguliwa akaunti yake na kisha kukabidhiw...
GPSA ni Wakala wa Serikali ambao majukumu yake ni kutoa huduma za
Ununuzi wa Vifaa na Huduma Mtambuka (VHM) katika Serikali, na PPRA ni Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ambayo husimamia utekelezaji wa Sheria ya Ununuzi wa Umma na kujenga uwezo wa taasisi za Umma katika Ununuzi.
Wateja wanaweza kupata huduma za GPSA kidijitali kupitia mfumo wa kielektroniki wa “GPSA Integrated Management Information System-GIMIS” kwa anuani ya “https://gimis.gpsa.go.tz/login” popote ulipo kwa kutumia vifaa vya kielektroniki kama vile simu na kompyuta. Kupitia mfumo h...
Wateja wanaweza kupata huduma za GPSA kidijitali kupitia mfumo wa kielektroniki wa “GPSA Integrated Management Information System-GIMIS” kwa anuani ya “https://gimis.gpsa.go.tz/login” popote ulipo kwa kutumia vifaa vya kielektroniki kama vile simu na kompyuta. Kupitia mfumo h...
Kwa mujibu wa Kanuni ya 127 (7) ya Kanuni za Ununuzi wa Umma, 2024 taasisi nunuzi haitatakiwa kuanzisha au kutangaza zabuni ambayo aidha vifaa au huduma husika inapatikana GPSA au vimewekewa utaratibu wa upatikanaji wake kupitia dirisha la Vifaa na Huduma Mtambuka (VHM) kwenye mfumo wa Ununuzi wa Ne...
Malipo kufanyika kwanza ni mfumo wa kiudhibiti kwa kuiwezesha Serikali kutozalisha madeni na hivyo kuruhusu upatikanaji wa huduma kwa vifungu vya bajeti vinavyokuwa vimekasimiwa pamoja na fedha kuwa imepatikana. Kanuni ya 344 (5) (a) ya Kanuni za Ununuzi wa Umma, 2024 zimeweka takwa kwa taasisi nunu...
Kwa kuwa michakato yote ya Ununuzi wa Umma kwa sasa inafanyika kupitia mfumo wa kielektroniki wa NeST, hivyo basi mzabuni yeyote atapaswa kujiunga na kufungua akaunti katika mfumo huu kupitia anuani ya ‘www.nest.go.tz’ na kisha kujisajili katika dirisha la wazabuni wa Vifaa na Huduma Mta...
NeST ambao ni ufupisho wa maneno ya Kiingereza ‘National e-Procurement System Tanzania’ ni mfumo wa kielektroniki wa Ununuzi wa Umma ambapo kwa sasa michakato yote ya Ununuzi wa Umma lazima ifanyike huko kutokana na maelekezo ya Serikali iliyoanza rasmi mwezi Julai, 2023 kwa taasisi zote...
GPSA hununua vifaa na huduma kutoka kwa wafanyabiashara kwa njia ya uwazi na ushindani, hivyo fursa sawa hutolewa kwa wafanyabiashara wote. Aidha kupitia Ununuzi wa pamoja wa Vifaa na Huduma Mtambuka kupitia Mikataba Maalum, wafanyabiashara wanapata taarifa zote za zabuni na kushiriki kwenye&n...
Taasisi za Umma hupata vifaa na huduma kwa haraka, kwa gharama nafuu, na vyenye ubora unaolingana na thamani ya fedha. Ununuzi kupitia GPSA hauna urasimu na taasisi hazianzishi mchakato wa zabuni kwa vifaa na huduma zinazopatikana GPSA