Wakala Wa Huduma Ya Ununuzi Serikalini

"Ununuzi Unaozingatia Thamani"

Kuna tofauti gani kati ya majukumu ya GPSA na PPRA?

GPSA ni Wakala wa Serikali ambao majukumu yake ni kutoa huduma za

Ununuzi wa Vifaa na Huduma Mtambuka (VHM) katika Serikali, na PPRA ni Mamlaka ya Udhibiti  wa Ununuzi wa Umma ambayo husimamia utekelezaji wa Sheria ya Ununuzi wa Umma na kujenga uwezo wa taasisi za Umma katika Ununuzi.