- Kutoa Huduma toshelevu ya vifaa kwa ubora na bei shindani;
- Kutoa huduma ya Ugomboaji na Uondoshaji Mizigo, na Ushauri wa Kitaalam kwa kuzingatia thamani halisi ya fedha;
- Kuandaa na Kutoa Orodha ya Wazabuni wa Vifaa na Huduma Mtambuka (VHM) kupitia Mikataba Maalum;
- Kutoa huduma ya kuhifadhi mali na vifaa kwa kutumia maghala;
- Kuhakikisha kuwa Wakala unakuwa endelevu.