Wakala Wa Huduma Ya Ununuzi Serikalini

"Ununuzi Unaozingatia Thamani"

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Kupitia Ununuzi wa pamoja wa Vifaa na Huduma Mtambuka (VHM) unaofanywa na GPSA, gharama za mchakato wa zabuni zinapungua kwa kiasi kikubwa sana haswa ikizingatiwa idadi ya taasisi za Umma ambazo  zinatumia fedha za Umma, kama kila moja ingeendesha mchakato wa zabuni wa kununua vifaa na huduma w...
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ulianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala Na. 30 ya mwaka 1997 na kutangazwa katika Gazeti la Serikali Na. 235 la tarehe 7 Desemba, 2007 na kufanyiwa marekebisho kupitia Gazeti la Serikali Na. 133 la tarehe 13 Aprili, 2012. Kuanzishwa kwa GPSA ni matoke...