Wakala Wa Huduma Ya Ununuzi Serikalini

"Ununuzi Unaozingatia Thamani"

GPSA inasaidiaje kupunguza gharama za Ununuzi Serikalini?

Kupitia Ununuzi wa pamoja wa Vifaa na Huduma Mtambuka (VHM) unaofanywa na GPSA, gharama za mchakato wa zabuni zinapungua kwa kiasi kikubwa sana haswa ikizingatiwa idadi ya taasisi za Umma ambazo  zinatumia fedha za Umma, kama kila moja ingeendesha mchakato wa zabuni wa kununua vifaa na huduma wanazohitaji  basi gharama kwa Serikali ingekuwa kubwa sana.