Wakala Wa Huduma Ya Ununuzi Serikalini

"Ununuzi Unaozingatia Thamani"

Taasisi za Umma zinanufaika vipi na huduma zinazotolewa na GPSA?

Taasisi za Umma hupata vifaa na huduma kwa haraka, kwa gharama nafuu, na   vyenye ubora unaolingana na thamani ya fedha. Ununuzi kupitia GPSA hauna urasimu na taasisi hazianzishi mchakato wa zabuni kwa vifaa na huduma zinazopatikana GPSA