Wakala Wa Huduma Ya Ununuzi Serikalini

"Ununuzi Unaozingatia Thamani"

Huduma ya Mafuta

Imewekwa: 09 November, 2025
Huduma ya Mafuta

Wakala umepewa jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za kutosha na bora za Ununuzi kwa Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali kama ilivyoelezwa katika Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410.

Huduma ya mafuta hujumuisha Petroli na Dizeli kwa ajili ya magari, pikipiki na mitambo. Huduma hizi zinapatikana katika vituo vya mafuta vya Wakala vinavyopatikana katika Mikoa yote Tanzania Bara.

Bonyeza hapa kupata huduma zetu.