KUSITISHA MATUMIZI YA NeST KWA MAAFISA UNUNUZI NA UGAVI WASIOKUWA NA USAJILI WA PSPTB.
Tarehe ya Kuanza: 31 Dec, 2025
08.Am
Tarehe ya Kumaliza: 31 Dec, 2025
DODOMA
0738441971
Ada:
--
PSPTB inawataarifu maafisa wote wa ununuzi na ugavi wanaotekeleza majukumu yao kwa kutumia mfumo wa NeST bila usajili wa PSPTB hawataweza kutekeleza majukumu hayo ifikapo tarehe 31 Disemba, 2025.
KUSITISHA MATUMIZI YA NeST KWA MAAFISA UNUNUZI NA UGAVI WASIOKUWANA USAJILI WA PSPTB..pdf