Imewekwa: 22 Oct, 2025
SIDO - DSM na TIKA - UTURUKI, ilifanya kikao kwa ajili ya kujadili ushirikiano wa k imkakati na unalenga kuwajengea uwezo zaidi wajasiriamali wa Tanzania kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Kikao kilihudhuriwa na Mkurgenzi wa mkaazi wa TIKA Tanzania na Meneja wa SIDO Dar Es Salaam, Hopeness Elia na timu ya SIDO Mkoa wa Dar Es Salaam

