Habari za Miradi, Wabia na Wafadhili

Habari za Miradi, Wabia na Wafadhili

Pamoja na Majukumu yake ya Msingi SIDO imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali kwa kushirikiana na Serikali Kuu na Serikali za Mitaa, Taasisi za Kimataifa, Wadau wa maendeleo. Katika kutekeleza hilo SIDO imekuwa ikishirikiana na Benki ya Dunia (World Bank), Taasisi ya Fedha ya Kimataifa (IFC), Shirika la Kimataifa linaloshughulikia wakimbizi (UNHCR), Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO), Shirika la Chakula na Kilimo Duniani, (FAO) Shirika la Kazi la Kimataifa (ILO), Shirika la Chakula na Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP),  Kituo cha Biashara cha Kimataifa (ITC), Shirika la Kimataifa la Ushirikiano Japan (JICA),  Shirika la Kimataifa la Ushirikiano Korea (KOICA) , Umoja wa Ulaya (EU) n,k. mashirikiano huu unalenga katika kuendeleza na kuimarisha wajasiriamali na Viwanda Nchini na yamekuwa yenye tija kubwa.

Matangazo
03 Dec, 2025
23 Nov, 2025
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo