Dira na Dhamira

Dira

Taasisi inayoongoza katika kukuza maendeleo ya viwanda vidogo na vya kati (MSMIs) nchini.

 

Dhamira

Kukuza maendeleo ya viwanda vidogo kupitia utoaji wa teknolojia, mafunzo, ushauri, masoko na huduma za kifedha kwa maendeleo endelevu.

 

Maadili ya Msingi 

i.      Utaalam: Tunazingatia utaalam na viwango katika kutoa huduma kwa wateja wetu.

ii.     Uadilifu: tunatoa huduma zetu kwa kiwango cha juu kwa kufuata kanuni na maadili  

iii.    Uwazi: Tunashiriki kwa uwazi taarifa muhimu na kutoa maoni ya haraka kwa wadau wetu.

iv.     Kutopendelea: Tunawahudumia wateja wetu kwa haki.

v.      Kuzingatia mteja:  Tunatanguliza mahitaji ya wateja kwanza.

Vi      Uwajibikaji: Tunawajibika kwa matendo yetu.

Matangazo
03 Dec, 2025
23 Nov, 2025
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo