Imewekwa: 19 Aug, 2025
SIDO NI MAFANIKIO YAKO KIUCHUMI
SIDO Singida kwa kushirikiana na ENABEL kupitia mradi wa BEVAC wametoa mafunzo ya siku tano ya ufugaji wa nyuki, uchakataji wa asali na usimamizi wa biashara kwa wawakilishi wa wafugaji nyuki kutoka Pemba - Zanzibar.

