Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Je, TBA inapangisha na kuuza Nyumba kwa Watu Wasio Watumishi wa Umma?

Ndiyo, kwa nyumba zinazojengwa kwa kutumia fedha za mapato ya ndani au Ubia kati ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) au mikopo kutoka taasisi za kifedha hupangishwa au kuuzwa kwa wote, wasio Watumishi wa Umma na Watumishi wa Umma.