Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Je, TBA inawajengea Nyumba Watumishi wa Umma na Wasio Watumishi wa Umma Kwenye Viwanja vyao?

Hapana, TBA haiwajengei nyumba Watumishi wa Umma na Wasio Watumishi wa Umma kwenye viwanja vyao. Kwa mujibu wa Sheria iliyoianzisha, TBA inatoa huduma ya makazi kwa Serikali, Watumishi wa Umma na Wananchi kwa ujumla kwa kujenga kwenye maeneo yake pamoja na huduma za Ushauri na Ujenzi wa majengo ya Serikali.