Ghana Kota
Ghana Kota
Imewekwa: 23 October, 2024
Taarifa za Mradi
Mshitiri/Mteja : DRE
Gharama : Billion 7,747,313,193.73
Aina ya Mradi : Design and Build
Eneo / Mahali : Mwanza
Tarehe ya kuanza : 2023-01-20
Tarehe ya Kumaliza : 2024-12-31
Taarifa zaidi za Mradi
Ujenzi huu ni wa Ghorofa 7 na wenye uwezo wa kuchukua familia 14 kwa ajili ya kupangisha Watumishi wa Umma.