UTEUZI
UTEUZI
04 Apr, 2023
Bodi ya ushauri ya Bodi ya Maziwa kupitia kikao chake cha tarehe 2.2.2023 pamoja na mambo mengine kimefanya uteuzi wa nafasi zifuatazo
1. Bw. Elifaraja Kintingu kuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA
2. Bi. Leila Mwaijibe kuwa Meneja Idara ya huduma za ufundi Maziwa