Dira na Dhamira ya Bodi
Dira na Dhamira ya Bodi
Dira
Kuwa Taasisi ya udhibiti, yenye ufanisi, inayojitosheleza, inayohimili ushindani na kuleta maendeleo endelevu ya Tasnia ya maziwa.
Dhamira
Kukuza na kuendeleza Tasnia ya maziwa iliyo endelevu na yenye ushindani kwa kuwaratibu wadau, kutoa huduma za udhibiti na ushauri kwa ufanisi na hivyo kuchangia maisha na uchumi wa Taifa.