Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Bodi ya Maziwa Tanzania

TDB Logo
MISINGI MIKUU

Bodi ya Maziwa Tanzania itafanya kazi na kuongozwa kwa kufuata taswira zifuatazo katika utendaji wake wa kazi za kila siku;

  • Ueledi
  • Kujituma
  • Ushirikiano
  • Uwajibikaji
  • Kuwashirikisha wadau