Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Bodi ya Maziwa Tanzania

TDB Logo
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Virutubisho vinavyopatikana kwenye maziwa Maziwa hutupatia takriban vitamini zote ambazo huyeyuka kwenye mafuta. Nazo ni vitamini A, D, E na K. Vitamini A huhusika na shughuli mbalimbali mwilini. Mfano afya bora ya ngozi zetu kuwa nyororo na ng'avu na pia kuwa na uwezo wa kuzuia wadudu wasiingie...
  Bodi ya Maziwa Tanzania ilianzishwa mwaka 2004 kwa Sheria namba. 262 ya mwaka 2004
Kusimamia shghuli za kila siku na kusajili wadau wa maziwa