UHABA WA MAJI KWA SIKU YA KESHO
24 Jan, 2023
Mamlaka ya Maji Mloa wa Tabora inawatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na katizo la maji sikunya kesho kupisha matengenezo,Wananch mnaombwa kutumia maji yaliyopo kwa umakini.