Maonesho ya Pili ya...
Maonesho ya Pili ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi
08 May, 2023 8:00am - 6:00pm Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume
Maonesho ya Pili ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi

wananchi wote mnaalikwa kutembelea Maonesho ya Pili ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi tarehe 16 hadi 22 Mei, 2023 katika uwanja wa Amri Abeid Karume jijini Arusha