Uzinduzi wa Kamati y...
Uzinduzi wa Kamati ya Ushauri wa Kitaaluma
08 May, 2023 08:00-12:00 Kampasi Kuu Butiama
Uzinduzi wa Kamati ya Ushauri wa Kitaaluma

Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na na Teknolojia kinatarajia kuzindua Kamati ya Ushauri wa Kitaaluma.

Mgeni rasmi: Mkuu wa Mkoa wa Mara

Wote mnakaribishwa