SHEREHE ZA MWENGE
08 May, 2023
08:00AM - 04:00PM
UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Wananchi wote mnaalikwa katika sherehe za Mwenge zitakazofanyika Kimkoa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma